Unaweza kuonana na Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kwa kupitia hatua zifuatazo:
1. Kuomba miadi kwa njia ya Simu au Barua.
2. Wenye shida mbalimbali wanaweza kufika Ofisi ya Mwenyekiti na kuwasilisha shida zao na kupewa huduma wanayoihitaji.
Mwenyekiti wa Halmashauri ana siku mbili (2) za kumuona kwa mujibu wa raitba yake;
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Kongwa
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2320537
Simu ya Mkononi:
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa. Haki zote zimehifadhiwa.