Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anawatangazia Wananchi wote Nafasi 150 za kazi ya muda mfupi ya ukusanyaji wa Taarifa za makazi na kuziingiza kwenye Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi katika Kata,Vijiji, na Vitongoji vyote vya Halmashauri. Tafadhali Bofya hapa kuona Tangazo.>>>>>>>>>TANGAZO LA KAZI.pdf
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.