Kitengo cha sheria ni mojawapo kati ya vitengo sita vya halmashauri chenye majukumu yafuatyo
NA.
|
|
HUDUMA ZITOLEWAZO
|
JINSI ZINAVYOPATIKANA
|
1
|
|
Kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi
|
Kufika ofisi za Kitengo cha Sheria zilizopo Halmashauri.
|
2
|
|
Kutoa elimu ya sheria kwa Mabaraza ya Kata.
|
Semina, na mikutano katika kata husika.
|
3
|
|
Kusimamia mikataba ya miradi ya maendeleo ya wananchi.
|
Kufika katika maeneo ya miradi, kusoma mikataba na kushauri kabla ya viongozi wa eneo husika kuisaini.
|
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.