Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anayo furaha kuwatangazia waombaji wote wa Ajira ya Muda ya Ukusanyaji wa Taarifa za Anwani za Makazi na Postikodi kuwa, Usaili utafanyika siku ya Jumatatu Tarehe 14/03/2022 kuanzia saa 2:00 Asubuhi. Siku ya Usaili, waombaji wote walioitwa wanapaswa kufika na vyeti halisi pamoja na Mahitaji mengine yanayohusiana na Usaili huo.
Aidha Halmashauri Haitahusika na Gharama zozote kwa wasailiwa ikiwa ni Pamoja na chakula na Malazi. Nawatakia Maandalizi Mema.
Ili kuona Tangazo na Orodha ya Majina hayo Tafadhali Bonyeza Hapa>>>>>>>>>>KONGWA USAILI.pdf
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.