Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Dkt. Omary A. Nkullo, anawatangazia wananchi wote walionunua viwanja katika maeneo ya Mnyankongo, Morisheni, Mbande, Mkoka na Kibaigwa na hawajamaliza kuvilipia,
wanatakiwa kumalizia malipo yao ndani ya kipindi cha siku (14) kumi na nne kuanzia tarehe ya leo 05/06/2023 - 19/05/2023. Baada ya hapo viwanja hivyo vitauzwa kwa waombaji wapya. Atakayeona tangazo hili amtaarifu na mwingine.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - Kongwa DC.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.