Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kongwa Dkt. Omary A. Nkullo, anapenda kuwatangazia wananchi wote kuwa lile tangazo la kazi la tarehe 14 April 2023 lilokuwa limesitishwa, Sasa limehuishwa. Hiyo waombaji wote wenye sifa, Mnakaribishwa. Kuona Tangazo tafadhali bofya hapa=======>>>>>TANGAZO LA AJIRA KDC.pdf
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.