Tuesday 21st, January 2025
@Ukumbi wi Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
Baraza Madiwani Halmashauri ya Wilaya Kongwa na Baraza la Biashara la Wilaya ya Kongwa kufanya kikao cha pamoja tarehe 20 Desemba 2017. Mabaraza.Katika mkutano huo mada mbalimbali zitajadiliwa kama zilivyoorodheshwa hapa chini.
Wajumbe wa mabaraza yote mawili pamoja na wananchi mnaombwa kujitokeza katika Mktano huo wa Mabaraza haya ili kujua mikakakti na maendeleo ya Wilaya yenu kuhusiana na mada tajwa hao juu.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.