Tuesday 21st, January 2025
@Shule ya Sekondari Kongwa
Maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ngazi ya Mkoa yatafanyika Wilayani Kongwa kuanzia saa 1:00 asubuhi. Mgeni Rasmi atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Sitaki Senyamule. Wananchi tunaalikwa kushiriki.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.