Saturday 21st, December 2024
@Godown Stendi ya mabasi Kongwa Mjini
Mkoa wa Dodoma unatarajia kuadhimisha Sheree za Miaka 60 ya Uhuru kimkoa Wilayani Kongwa. Ujumbe Mkuu "Miaka 60 ya Uhuru. TanzaniaImara, Kazi iendelee"
Katika maadhimisho haya, Mgeni Rasmi atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka ambapo atakabudhi pia fedha zamikopo kwa vikundi mbalimbali vya Vijana, Wanawake na Walemavu katika Wilaya ya Kongwa kwa fedha za asilimia 10 toka Halmashauri.
Aidha, maadhimisho haya yataambatana namdahalo wa Uhuru kati ya wazee na vijana na pia kutakuwa na burudani toka vikundi mbalimbali vya wasanii.
Wananchi wote mnakaribishwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.