Tuesday 3rd, December 2024
@Viwanja vya Kituo cha Basi Kongwa Mjini
Maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani kitaifa kufanyika Wilayani Kongwa siku ya tarehe 3 Desemba, 2020 katika viwanja vya Kituo cha Basi (Kongwa Stand).
Maadhimisho haya yanafanyika chini ya kauli mbiu “Si kila ulemavu unaonekana (Not aall disabilities are visible)” ambapo mgeni rasmi atakuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Yustino Ndugai. Aidha, viongozi mbalimbali wa Kitaifa watakuwepo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anawatangazia wananchi wote kujitokeza kwa wingi katika kilele cha maadhimisho haya siku hiyo ya Alhamisi katika viwanja hivyo vya Kituo cha Basi Kongwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.