Sunday 22nd, December 2024
@Kongwa Makao Makuu
Maafisa Uandikishaji (EOs) wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii Ulioboreshwa (iCHF) watapa mafunzo namna mfumo mpya wa uandikishaji unavyofanyakazi pamoja na maelekezo mbalimbali kuhusu maboresho yaliyofanyika katika CHF.
Mafunzo haya yanafanyika katika Ukumbu wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa ambapo yataendeshwa na Afisa TEHAMA wa Halmashauri akishirikiana na Timu ya CHF ya Mkoa na Wadau wa HPSS.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.