Sunday 22nd, December 2024
@Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa imeandaa mpango wa mafunzo wa siku tano kwa Wakuu wa Idara/Vitengo na Maafisa wengine kuhufu mifumo mipya yaBajeti na Mpango (PlanRep) na Usimamizi wa Fedha katika ngazi ya Vituo vya Kutolea huduma (FFARS).
Mafunzo haya yatafanyika kuanzia tareh 19 hadi 23, Septemba mwaka 2017 na yataendeshwa na Wakufunzi toka ngazi ya Halmashauri waliokwisha pata mafunzo ya mifumo hiyo pia watashirikiana na baadi ya wataalamu toka mradi wa PS3.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.