Thursday 2nd, January 2025
@Kongwa HQ
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya, Halmashauri ya Kongwa anawapa taarifa rasmi kwamba kesho tarehe 24 Juni, 2021 saa nne kamili asubuhi katika Ukumbi wa Halmashauri kutakuwa na hafla ya makabidhiano baina ya Mkuu wa Wilaya anayeondoka na Mkuu wa Wilaya mpya anayeripoti.
Wakuu wa Wilaya wanapenda kuongea na watumishi wote wa Makao Makuu ya Halmashuri na Wilaya, tafadhali watumishi wote mnaombwa mshiriki katika hafla hiyo.
Tafadhali mzingatie muda
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.