Saturday 21st, December 2024
@Majawanga, Pandambili, Kibaigwa, Mtanana, Mbande na Kongwa Mjini.
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa inatarajia kuupokea Mwenge wa Uhuru siku ya Jumapili ya tarehe 11 Agosti, 2019. Mapokezi haya yatafanyika katika eneo la Majawanga mpakani mwa Mkoa wa Dodoma na Morogoro ambapo Mkoa wa Dodoma utakabidhiwa na Mkoa wa Mororgoro na kisha kuanza rasmi mbio hizo katika Wilaya ya Kongwa na kupitia miradi mbalimbali. Ratiba kamili itatolewa baadaye.
Wananchi wote mnakaribishwa kushiriki mbio hizi za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2019.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.