Friday 27th, December 2024
@Uwanja wa Sababa Kongwa
Katika siku ya Maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe 12 Januari , 2018 kutakuwa na mchezo wa kirafiki wa mpira wa miguu ambapo timu ya Halmashauri ya Wilaya Kongwa itaikaribisha timu ya Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma. Katika mchezo watakaocheza ni wafanyakazi wa Halmashauri hizo mbili na mchezo utafanyika katika Uwanja wa CCM (Sabasaba) Wilayani Kongwa.
Lengo la mchezo huu ni kuendeleza udungu na urafiki baina ya watumishi wa Halmashauri hizo pamoja na kubadilishana mawazo na uzoefu katika masuala ya kzai na kijamii na pia kuboresha afya kwa wafanyakazi. Mchezo huu unaratibiwa na Maafisa Utamaduni na Michezo toka Halmashauri zote mbili.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.