Sunday 22nd, December 2024
@Shule zote za Msingi zenye Wanafunzi wa Darasa la Saba
Wanafunzi wa Darasa la Saba mwaka 2017 kufanya mitihani yao ya mwisho kuhitimu elimu ya Msingi mapema mwezi ujao. Kwa mujibu wa ratiba mitihani hiyo itafanyika kuanzia tarehe 6 Septemba na kumalizika tarehe 7 Septemba 2017.
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa inawatakia wanafunzi wote mitihanani mema. Aidha, watu wote wasio husika na shughuli za mitihani hiyo hawaruhusiwi kupita maeneo ya shule ili kuwapa utulivu wanafunzi.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.