Saturday 21st, December 2024
@Sekondari ya Kongwa na Sekondari ya Ibwaga.
Wanafunzi wa Kidato cha sita wanaanza kufanya mitihani yao ya kuhitimu elimu yao kuanzia Mei 6 hadi Mei 17, 2019.
Wilaya ya Kongwa ina shule mbili tu zenye watahiniwa; Shule ya Sekongari Kongwa na Shule ya Sekondari Ibwaga.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya, Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa inawatakia watahiniwa wote mtihani mwema.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.