Sunday 22nd, December 2024
@Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa linafanya mkutano kwa robo ya tatu siku ya Alhamis tarehe 24 Mei, 2018 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri. Wananchi na wadau mbalimbali wa maendeleo wanakaribishwa katika mkutano huu.
Kumbuka kupata taarifa zihusuzo maendeleo ya Wilaya yako ni haki yako.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.