Sunday 22nd, December 2024
@UKUMBI WA MIKUTANO WA HALMASHAURI MAKAO MAKUU
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa unawatangazia wananchi wote kuwa Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Kujadili Taarifa za Robo ya 1 ya Mwaka wa Fedha 2021-2022 utafanyika Tarehe 03/11/2021 kuanzia saa 04:00 asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri.
Ewe Mwananchi mpenda maendeleo unaombwa kuhudhuria Mkutano huu iliuweze kupata taarifa za masuala mbalimbali ya maendeleo yanayotekelezwa na Serikali kwa ujumla.
Hima hima upatapo ujumbe huu tafadhali mjulishe na mwenzako.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.