Tuesday 21st, January 2025
@Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
Tarehe 23/05/2019 kuanzia saa 04:00 asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri, utafanyika Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za Halmashauri kwa kipindi cha robo ya tatu (Januari hadi Machi 2019) kwa mwaka wa fedha 2018/22019.
Mwananchi mpenda maendeleo unaombwa kufika siku hiyo katika Mkutano huu ili uweze kusikia taarifa za masuala mbalimbali yanayotekelezwa na Halmashauri yako.
Upatapo ujumbe huu mwambie na mwenzako.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.