Thursday 26th, December 2024
@Sule ya Sekondari ya Wasichana ya St Francis Kongwa
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa imeandaa Mkutano wa wadau wa Elimu Wilayani Kongwa utakaofanyika siku ya tarehe 14 Februari, 2018 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari ya ST. FRANCIS OF ASSIS.
Katika Mkutano huo masuala mbalimbali ya elimu yatajadiliwa. Tafadhali uliyealikwa fika bila kukosa ili tuweze kujadili maendeleo ya Elimu katika Wilaya yetu.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.