Tuesday 21st, January 2025
@Wilaya ya Kongwa
Tarehe 5 na 6 Septemba, 2018 kutakuwa na shughuli za mtihani wa taifa kwa shule za msingi zote zenye wanafunzi wa darasa la saba.
Wananchi wote au mtu yeyete asiyehusika na shughuli za mtihani huu wa Taifa harusiwi kukabribia eneo la shule.
Aidha, katika maandalizi ya mtihuni huu wa Taifa mwaka 2018 jumla ya walimu 402 wamepewa mafunzo elekezi kusimamia shughuli za mtihani ambapo usimamizi wake pia utahusisha vyombo vya usalama ili kuepuka uvujaji wa mitahini hiyo.
Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa inawatakia watahiniwa wote mtihani mwema, na Mungu awaongoze kuufanya nyema na kufaulu kwa kiwango cha juu.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.