MAAFISA MAENDELEO YA JAMII AJIRA MPYA WALA KIAPO
Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Bi. Hella Mlimanazi amewaapisha wahitimu wa mafunzo ya siku tatu ya mfumo wa utoaji na urejeshaji mikopo ya Halmashauri 10% kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ambao ni Maafisa Maendeleo ya jamii ajira mpya ngazi ya Kata.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.