Sunday 22nd, December 2024
@NaneNane - Nzuguni Dodoma
Kuanzia tarehe 29 Julai hadi tarehe 8 Agosti, 2018 wananchi wote wa Tanzania watakuwa wanasheherekea maadhimisho ya sikukuu ya wakulima – NaneNane. Maadhimisho haya Kitaifa yanafanyika Mkoani Simiyu; Wilaya ya Kongwa inashiriki maadhmisho haya kwa Kanda ya Kati katika Viwanja vya NaneNane Dodoma.
Wananchi mnakaribishwa kutembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, uwanja wa maonesho ya kilimo – NaneNane, Kanda ya kati Dodoma.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.