Saturday 21st, December 2024
@Uwanja wa Mpira wa Miguu Saba Saba - Kongwa Mjini
Siku ya Ijumaa tarehe 12 Novemba 2021 kutakuwa na Bonanza la Upimaji wa Magonjwa Yasiyoambukiza - Shinikizo la damu, Kisukari, Uzito, Urefu, pamoja na utoaji wa Ushauri wa kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza. Bonanza hili litaambatana na Pambano la kukata na shoka kwa mchezo wa mpira wa miguu kati ya Timu ya Afya Wilaya ya Kongwa na Timu ya Halmashauri Makao Makuu.
Zoezi la upimaji litaanza saa 8 kamili mchana na mechi ya mpira wa miguu itaaanza saa 10 kamili jioni.
Uomgozi wa Halmashauri na Wilaya ya Koongwa unaowaomba wananchi wote wa Kongwa Mjini na maeneo ya jirani kujitikeza kwa wingi katika maeneo ya uwanja Sabasaba Kongwa Mjini kushiriki Tamasha hili.
Wananchi wote mnakaribishwa, hakuna kiingilio na upimaji ni bure.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.