Tuesday 21st, January 2025
@Kongwa Halmashauri
Maandalizi ya Bajeti ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2018/2019 kwa kutumia mfumo mpya wa bajeti - PlanRep yanaanza rasmi mara tu baada TAMISEMI wizara yenye dhamana na Mfumo kutoa kibali cha matumizi ya mfumo husika. Hivyo, kufuatia kibali hicho kutolewa Mkurugenzi Mtendaji Wilaya (DED) awaagiza wakuu wa Idara na Vitengo kuwasilisha majina na taarifa muhimu zinazohitajika katika utekelezaji wa zoezi zima la mpango wa bajeti, ili shughuli za mpango zifanyike kwa wakati.
Mahitaji yote muhimu kuhusu mfumo yawasilishwe Kitengo cha TEHAMA kinachoratibu uundaji wa akaunti za watumiaji ngazi ya Wilaya (Halmashauri).
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.