Saturday 7th, June 2025
@Vituo vya Kupiga Kura vilivyoainishwa na Tume ya Uchaguzi katika kila Kata
Uchaguzi Mkuu kuchagua viongozi mbalimbali; ngazi ya Rais, Wabunge na Madiwani kufanyika siku ya Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020.
Wananchi wote wenye sifa na waliojiandikisha wanaombwa kufika mapema katika vituo walivyojiandikisha kwa ajili ya zoezi la upigaji kura.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.