Tuesday 21st, January 2025
@Kongwa
Wilaya ya Kongwa inatarajia kupitiwa na mbio za Mwenge wa Uhuru tarehe 31 Julai, 2018 ambapo utapokelewa kutokea Wilaya ya Mpwapwa na Kuukabidhi kwa Wilaya ya Chamwino tarehe 1 Agosti, 2018.
Katika Mbio hizi mradi mbalmbali itapitiwa ambapo Kamati ya Kuratibu Mbio za Mwenge wa Uhuru Wilayani Kongwa inaenelea na ranking ya njia ndipo majina ya miradi yatawekwa wazi pamoja na gharama zake.
Aidha, Mkesha wa Mwenge kwa mwaka huu utafanyika Mbande Kata ya Sejeli.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.