Sunday 22nd, December 2024
@Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri Wilaya ya Kongwa
Mradi wa Uboreshaji wa Mazingira ya Uwekezaji (LIC) Dodoma ulifanya tafiti juu ya shughuli za usimamizi wa ardhi katika wilaya 8 za Mkoa wa Dodoma. Tafiti ilifanyika kwa ushauri toka Chuo cha Ardhi Dar es Salaam na rasimu ya ripoti kuwasilishwa kwa timu ya kiufundi ya LIC kwa majadiliano na mapendekezo zaidi.
LIC imepanga kuwasilisha taarifa hiyo kwa Timu ya Uongozi ya Halmashauri (CMT) tarehe 05 Desemba 2017 kuanzia saa 3 asubuhi.
Huu ni mkutano muhimu wa kufanya maamuzi katika kuchukua hatua za uboreshaji wa usimamizi wa shughuli za ardhi katika ngazi ya Wilaya ya Kongwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.