Tuesday 3rd, December 2024
@Kituo cha Afya Ugogoni, Konngwa.
Kitua cha Afya Ugogoni kinatarajia kuanza kutoa huduma za upasuaji. Huduma hizi zitaanza kutolea tarehe 11 Agosti, 2020 ambapo uzinduzi wake utafanywa na Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Ndg. Dkt. Suleiman Serera.
Wananchi wote mnakaribishwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.