Thursday 26th, December 2024
@Ukumbi wa Mikutao wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Deogratius Ndejembi siku ya Jumanne ya tarehe 23/01/2018 atazindua kampeni ya kutokomeza ndoa za utotoni katika Wilaya ya Kongwa; Tukio hili la Uzinduzi litafanyika katika Ukumbi wa Mikutano uliopo katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kongwa kuanzia saa 4:00 Asubuhi.
Uzinduzi huu umedhaminiwa na Shirika la World Vision Tanzania ambalo linaendelea na shughuli zake katika kata za Mkoka, Makawa na Matongoro.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.