Sunday 22nd, December 2024
@Kibaigwa Mjini
Mkurugenzi Mtendaji (W) anawatangazia Wananchi wote kuwa Tarehe 28 Februari 2022 Asubuhi, kutakuwa na zoezi la uzinduzi wa Anwani za Makazi na Postikodi ngazi ya Wilaya. Hafla hiyo itafanyika Eneo la Kibaigwa. Mgeni Rasmi atakuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remidius Mwema Emmanuel. Wananchi wote, Mnakaribishwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.