Tuesday 21st, January 2025
@Ukumbi wa Mikutano Halmashauri ya Wilaya Kongwa
Uzinduzi rasmi wa Programu ya KISIKI HAI Mkoa wa Dodoma (Regreening Dodoma Region Programme) itakayoendeshwa na Shirika la LEAD Foundation.
Mpango huu umelenga kukomboa mazingira kwa kutumia njia ya Kisiki Hai (FMNR-Farmer Managed Natural Regeneration) na njia zingine ikiwemo ya uvunaji wa maji. Awamu ya kwanza ya Programu hii inahusisha vijiji vyote vya Tarafa mbili za Kongwa na Mlali kwa Wilaya ya Kongwa, kuanzia mwezi huu wa Desemba, 2017.
Warsha ya siku moja kwa wadau muhimu wa mazingira katika wilaya inafanyika tarehe 19 Desemba, 2017 ambayo inahusisha viongozi wa serikali kutoka ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya, Mashirika ya Dini, Asasi za Kiraia, Waandishi wa Habari, pamoja na Madiwani na Maafisa Watendaji wa Kata zote za Tarafa za Kongwa na Mlali.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.