Friday 6th, December 2024
@Kongwa
Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo atafanya ziara ya Siku moja Wilayani Kongwa kukagua hali ya utekelezaji wa miradi ya Mazingira inayotekelezwa na Shirika la FECE Kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.