Sunday 22nd, December 2024
@Kongwa
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Sitaki Sentamule atafanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Kongwa.
Akiwa Wilayani Kongwa atembelea shule ya Mpya ya Sekondari Ihanda, kufanya mkutano wa hadhara katika Kijiji Cha Mlali na hatimaye kutembelea Kituo mahiri Cha kudhibiti sumu kuvu kinachojengwa katika eneo la Mtanana.
Wananchi mnaalikwa kujitokeza katika mkutano wa hadhara - Mlali.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.