Tuesday 21st, January 2025
@Mkoka, Songambele, Kibaigwa na Kongwa
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith S. Mahenge anatarajia kufanya ziara kwa Wilaya ya Kongwa Septemba 3, 2018.
Ziara yake italenga; Kusikiliza kero mbalimbali za wananchi; Sekta ya Maji Kukagua miradi; Sekta ya Kilimo kukagua Hali ya Kilimo na mavuno; Sekta ya Elimu kukagua miradi na hali ya sekta kwa ujumla; Sekta ya Ardhi kupitia migogoro ya ardhi; Sekta ya Afya miradi ya ujenzi wa vituo; Ukusanyaji wa mapato (vyanzo mbalimbali).
Maeneo yatakayotembelewa ni Ukanda wa Mkoka na Tarafa/Kata za jirani; Songambele (Mkutano wa Hadhara) na Kibaigwa (Mkutano wa Hadhara).
Aidha, atakutana na KUU ya Wilaya; CMT, Taasisi na Watendaji na kukagua miradi.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.