Sunday 22nd, December 2024
@Wilaya ya Kongwa
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Belinith Mahenge kufanya ziara Wilayani Kongwa siku ya Jumamosi ya tarehe 5-01-2019.
Lengo la ziara hii ni kukagua maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza na maandalizi ya kilimo.
Hivyo, atafanya ukaguzi wa madarasa yaliyojengwa na pia madaftari ya kilimo.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.