Thursday 26th, December 2024
@Kituo cha Afya Mlali
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Deogratius Ndejembi akifuatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya atafanya ziara Mlali tarehe 06/03/2018.
Akiwa Mlali atapokea taarifa na kukaguaujenzi katikaKituo cha Afya Mlali, atasikiliza kero za wananchi na kisha kuzindua bidhaa zinazotengenezwa na vikundi vya uzalishaji.
Aidha, katika kusikiliza kero, baadhi yakero zitajibiwa na Wakuu wa Idara atakaombatana nao.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.