Tuesday 21st, January 2025
@Mamlaka ya Mji mdogo Kibaigwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anawatangazia Wananchi Kuwa Kutakuwa na Ziara ya kikazi ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula Katika Mamlaka ya Mji mdogo wa Kibaigwa Tarehe 14 Julai 2021. Lengo ni kusikiliza Kero za Migogoro ya Ardhi kwa wakazi wa Eneo hilo Ikiwa ni Sehemu ya Utekelezaji wa Agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alilolitoa Tarehe 7 Julai 2021 akiwa katika Eneo hilo. Wananchi wote Mnakaribishwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.