Saturday 21st, December 2024
@Ugogoini, Chamkoroma, Hogoro na Songambele
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi Wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deogratius John Ndejembi (MB) atafanya ziara ya siku mile Wilayani Kongwa tarehe 10 na 11 Novemba, 2021. Katika ziara hiyo atakagua utekelezaji wa shughuli za Mpango wa TASAF katika Wilaya ya Kongwa na kuzungumza na wananchi wa kata za Ugogoni, Chamkoroma, Horror na Songambele.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.