Friday 13th, September 2024
@RANCHI YA NARCO, NA TALIRI KONGWA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, anatarajia kufanya ziara ya siku moja Wilayani Kongwa Jumatatu ya tarehe 13 Mei, 2024.
Katika ziara yake, atatembelea Ranchi ya NARCO na hatimaye TALIRI Kongwa ambapo atashuhudia zoezi la makabidhiano ya Mradi kati ya PASS na TALIRI na kuzungumza na Wananchi.
Nyote Mnakaribishwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.