Sunday 22nd, December 2024
@Kongwa Mjini, Mtanana na Kibaigwa
Waziri wa Maji Mhe Makame Mbarawa anatarajiwa kuwasili Wilayani Kongwa leo katika ziara ya kikakazi.
Aikwa Wilayani humo, atapokea taarifa ya hali ya huduma ya maji katika wilaya kisha, atatembelea na kupokea taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maji Kongwa Mjini
Baadaye atatembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maji Mtanana, akitoka Mtanana ataelekea Kibaigwa ambako atakagua visima vilivyoharibika katika mji huo.
Ratiba ya kamili ya ziara bofya hapa Ratiba Waziri wa Maji(2).pdf
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.