Tuesday 21st, January 2025
@Ngonga, Sagara Makopo na Kongwa Maji
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anayofuraha kuwatangazia Wananchi wote kuwa Leo Alhamisi tarehe 18/04/2019; Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dr. Medadi Kalemani anaitembelea Wilaya yetu ya Kongwa na atazindua usambazaji wa umeme katika maeneo ya Ngonga, Sagara Makopo na Kongwa Maji.
Ewe mwananchi unaombwa kujitokeza mapema zaidi kumpokea kiongozi wetu wakati wa uzinduzi huo. Muda atakaowasili ni saa 07:00 Mchana
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.