Sunday 22nd, December 2024
@Ofisi ya Utumishi
Zoezi la Kuhakiki Watumishi kwa Kutumia Taarifa za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) limekamilika, lakini watumishi 246 hadi sasa hawajahakikiwa.
Hivyo, watumishi walioorodheshwa katika kiambata hapa chini wafike na vitambulisho vya NIDA na Hati ya Malipo ya Mishahara (Salary Slip) ya hivi karibuni katika Ofisi ya Utumishi na Utawala - Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa hadi ifikapo tarehe 18/05/2018.
Imetolewa na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kongwa.
Orodha ya Watumishi Ambao Hawajahakikiwa.pdf
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.