Thursday 2nd, January 2025
@Kata zote za Wilaya ya Kongwa
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kongwa anawatangazia wananchi wote kuwa zoezi la ugawaji vyandarua vya kujikinga na mbu litafanyika kwa siku tau kuanzia tarehe 19 hadi 21 Oktoba 2020.
Hivyo, kila mkuu wa kaya aliyejiandikisha afike bila kukosa kwenye kituo cha makabidhiano kama alivyoelekezwa wakati wa uandikishaji. Tafadhali, fika na kuponi au karatasi yako uliyopewa na karani mwandikishaji wakati wa zoezi la usajili wa kaya.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.