• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

Kupata Leseni ya Biashara

Ili kupata leseni ya biashara inayotolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa unatakiwa   kufuata hatua zifuatazo:-

A: Mfanyabiashara asiye na Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN):

  1. Fika ofisi ya Biashara ya Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa ili upatiwe Fomu maalum kwa ajili ya kujaza taarifa zako za biashara
  2. Nenda Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji (VEO) katika eneo unalotarajia kufungua biashara yako ili akusainie na kukugongea muhuri
  3. Kwa mfanyabiashara wa chakula na vinywaji (Vileo) lazima biashara yako ihakikiwe na kuthibitishwa na Afisa Afya wa eneo husika.
  4. Kwa Mfanyabiashara wa Duka la Dawa Baridi ni lazima upate kibali kutoka Baraza la Famasia la Wilaya (Business Pharmacy Permit) Kongwa.
  5. Fika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dodoma Mjini ili biashara yako isajiliwe na upatiwe Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN).
  6. Baada ya kupatiwa TIN, utakadiliwa kiasi cha Kodi utakachopaswa kulipa kulinga na biashara yako ili ukalipie Benki na baada ya kukamilisha malipo ya Benki utapatiwa Cheti cha Utakaso cha Mlipakodi (Tax Clearance Certificate).
  7. Fika Ofisi ya Biashara Wilaya ya Kongwa ukiwa na Cheti cha Utakaso cha Mlipakodi halisi (Original) pamoja na Nakala (Photocopy) ya Cheti cha Mlipa Kodi yaani TIN ili ukadiliwe na kupatiwa Ankra (Bili) ya Malipo ambapo utakwenda kulipia Benki ya NMB.
  8. Baada ya malipo kufanyika, nenda Ofisi ya Mtasilimu (Cashier) ukiwa na Stakabadhi yako ya malipo ya Benki (Pay in Slip) ambapo utapatiwa risiti ya Mfumo wa Mapato (LGRCIS).
  9. Baada ya kupata risiti, rudi Ofisi ya Biashara ukiwa na risiti au Stakabadhi yako ya malipo ya Benki (Pay in Slip) ambapo utapatiwa leseni ya biashara yako.

B: Mfanyabiashara mwenye Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN):

  1. Fika ofisi ya Biashara ya Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa ili upatiwe Fomu maalum kwa ajili ya kujaza taarifa zako za biashara
  2. Nenda Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji (VEO) katika eneo unalotarajia kufungua biashara yako ili akusainie na kukugongea muhuri.
  3. Kwa mfanyabiashara wa chakula na vinywaji (Vileo) lazima biashara yako ihakikiwe na kuthibitishwa na Afisa Afya wa eneo husika.
  4. Kwa Mfanyabiashara wa Dula la Dawa Baridi ni lazima upate kibali kutoka Baraza la Famasia la Wilaya (Business Pharmacy Permit) Kongwa.
  5. Fika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) utakadiliwa kiasi cha Kodi utakachopaswa kulipa kulingana na biashara yako ili ukalipie Benki na baada ya kukamilisha malipo ya Benki utapatiwa Cheti cha Utakaso cha Mlipakodi (Tax Clearance Certificate).
  6. Fika Ofisi ya Biashara Wilaya ya Bahi ukiwa na Cheti cha Utakaso cha Mlipakodi halisi (Original) pamoja na Nakala (Photocopy) ya Cheti cha Mlipa Kodi yaani TIN ili ukadiliwe na kupatiwa Ankra (Bili) ya Malipo ambapo utakwenda kulipia Benki ya NMB.
  7. Baada ya malipo kufanyika, nenda Ofisi ya Mtasilimu (Cashier) ukiwa na Stakabadhi yako ya malipo ya Benki (Pay in Slip) ambapo utapatiwa risiti ya Mfumo wa Mapato (LGRCIS).
  8. Baada ya kupata risiti, rudi Ofisi ya Biashara ukiwa na risiti au Stakabadhi yako ya malipo ya Benki (Pay in Slip) ambapo utapatiwa leseni ya biashara yako.

KUMBUKA KUWA:

  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara inapatikana katika tovuti hii. Bofya hapa “Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara”
  • Malipo ya Kodi ya Mapato yanayofanyika kupitia TRA ni kuanzia Januari 01 hadi Desemba 31 kila mwaka.
  • Wakati malipo Leseni ya Biashara ni kuanzia Julai 01 hadi Juni 30 kila mwaka.
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa ina kituo cha biashara (One Stop Business Center – OSBC) ambapo huduma nyingi zinatolewa hapo ili kumuondolea usumbufu mteja.
  • OSBC imeunganisha ofisi za Biashara, Mhasibu wa Mapato, Mtasilimu, Afisa Afya, na Ardhi. Aidha, Kituo kipo mbioni kutoa huduma za Ofisi ya TRA na Benki.

Matangazo

  • Majina ya mipaka ya vijiji na vitongoji vilivyopo katika eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa. October 16, 2024
  • TANGAZO LA MAELEKEZO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 16, 2024
  • Tangazo la nafasi za ajira za mkataba October 07, 2024
  • Tangazo la kufunguliwa kwa dirisha la utoaji mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu- Oktoba 1 2024 October 02, 2024
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • MGOGORO WA MPAKA CHIGWINGWILI - HOGORO KUTAFUTIWA UFUMBUZI.

    May 08, 2025
  • VIKUNDI VYASISITIZWA KUWA NA USHIRIKIANO MZURI NA VIONGOZI PAMOJA NA WATAALAM

    May 05, 2025
  • VIKUNDI 21 VYAKABIDHIWA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YA HALMASHAURI

    April 28, 2025
  • DC MAYEKA AKABIDHI MISAADA

    April 27, 2025
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.