Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe Mayeka Simon Mayeka amezindua mafunzo ya awali ya jeshi la Akiba kwa askari wanafunzi 52 yanayofanyika katika Kata ya Chamkoroma Kijiji cha Mang'weta.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.