Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kuzindua Kampeni ya Kukijanisha Mlima Ibwaga na Kongwa yote.
Uzinduzi wa Kampeni hii unatarajiwa kufanyika siku ya Alhamisi ya tarehe 25 Januari, 2018 katika Kijiji cha Ibwaga - Mlima Ibwaga.
Aidha, baada ya zoezi hili shughuli za upandaji miti na uhamasishaji utaendelea katika maeneo mengine yote amvayo yanazunguka mlima Ibwaga na na nje ya Kijiji cha Ibwaga. Mlima Ibwaga ni miongoni mwa milima amabayo mazingira yake yameharibiwa kutokana na shughuli za binadamu.
Hadi sas ziadi ya miche ya miti 5,000 imeshaandaliwa tayari kwa zoezi la uzinduzi siku ya tukio, piauzinduzi umelenga kupanda miti 6,000 na Mgeni rasmi atanatarajiwa kuwa Waziri wa Mazingira, Mhe. January Makamba.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.