Shule ya Sekondari Laikala Kujengewa Madarasa 4 na Matundu 6 ya Vyoo. Kwa mujibu wa Kaimu Afisa Elimu, jumla ya shilingi miloni 86.6 zimepokelewa kupitia mradi wa Utekelezaji wa Matokeo (P4R), ambapo fedha hizo zitatumika katika ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa (Tsh. 80,000,000/=)na matundu sita ya vyoo (Tsh. 6,000,000/=). Fedha zote kwa ajili ya ujenzi zimewekwa kwenye akaunti ya Shule hiyo na shilingi milioni 2, zimewekwa katika akaunti ya Halmashauri kwa ajili ya kufanya ufuatiliaji wa mradi huo. Aidha, utaratibu wakupata mzabuni umeshafanyika.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.