Ujenzi wa Madarasa Manne na Ofisi Mbili za Walimu Katika Shule ya Sekondari Kongwa Fedha za Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya UVIKO-19
Kazi ya kumalizia kuta za juu za boma imekamilika tarehe 23/11/2021
Kazi ya upauaji kuweka kenchi kwa ajili ya upauaji wa boma imeanza tarehe 26/11/2021.